LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Samia kuhakikisha daraja la JPM, Kigongo-Busisi linakamilika kwa wakati

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Ujenzi wa daraja la muda kwa ajili ya kupitisha vifaa vya ujenzi wa daraja la JPM linalojengwa katika Ziwa Victoria eneo la Kigongo-Busingi umekamilika kwa asilimia 100 huku daraja la kudumu likiwa zaidi ya asilimia 20.

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella Aprili 19, 2021 amekagua maendeleo ya ujenzi huo na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa ahadi yake ya kuhakikisha miradi ya kimkakati ikiwemo daraja hilo inakamilika kwa wakati.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (wa kwanza kushoto) pamoja na viongozi mbalimbali akiwa kwenye ukaguzi wa mradi huo ambao hadi kukamilika utagharimu zaidi ya shilingi bilioni 600 za kitanzania.
Mwonekano wa daraja la muda katika eneo la Kigongo-Busisi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.