LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwanza wamuaga Tutuba baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Kamati ya Usalama Mkoa Mwanza ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella imemuaga rasmi aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa huo, Emmanuel Tutuba baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango.
Tutuba ameagwa wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichoketi Jumatatu Aprili 12, 2021.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkuu wa Mkoa Mwanza (wa tatu kulia) akimkabidhi zawadi ya picha aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa Mwanza Emmanuel Tutuba (wa nne kushoto) wakati wa kumuaga kwa ajili ya kuanza majukumu yake mapya kwenye nafasi ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akisaini zawadi hiyo.
Mkuu wa Wilaya Nyamagana, Dkt. Philis Nyimbi akisaini.
Kamanda wa Polisi Mkoa Mwanza, Muliro Jumanne akisaini.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.