LIVE STREAM ADS

Header Ads

Heri ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania liliasisiwa Aprili 26, 1964 baada ya Tanganyika na Zanzibar kuungana chini ya viongozi, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere wa Tanganyika na Hayati Abeid Amani Karume wa Zanzibar kukubaliana kufanya hivyo kwa maslahi ya mataifa yote mawili.
BMG TV inawatakia heri ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

No comments:

Powered by Blogger.