LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Chalamila aibukia TRA, waite wanaodaiwa, wasikie 'toni' yangu

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Albert Chalamila Mei 27, 2021 amefika katika ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa Mwanza na kuzungumza na watumishi wa mamlaka hiyo. Pia ameagiza kukutana na wafanyabiashara wenye madeni.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.