LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Samia kukamilisha jengo la abiria Mwanza Airport, walidhani itakwama

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Albert Chalamila Mei 26, 2021 amekagua ujenzi wa jengo la abiria katika uwanja wa ndege wa Mwanza na kubainisha kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kutoa fedha zilizosalia kwa ajili ya kukamilisha mradi huo pamoja na mingine iliyoanzishwa wakati wa uongozi wa hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyefariki Machi 17, 2021.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.