LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Chalamila kunogesha mbio za 'Lake Victoria Marathon' Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Albert Chalamila ameahidi kushiriki mbio za 'Lake Victoria Marathon' zinazotarajiwa kufanyika Juni 26, 2021 jijini Mwanza huku akiwahimiza pia wanariadha mbalimbali kujitokeza kwa wingi kushiriki mbio hizo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.