Mwanza watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amewataka wananchi na viongozi mbalimbali mkoani Mwanza kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona (Covid 19) kwa kuzingatia kanuni zinazotolewa na wataalamu wa afya ikiwemo kutakasa mikono, kunawa mikopo kwa maji tiririka na sabuni pamoja na kuepuka misongamano.
Mhandisi Gabriel ametoa tahadhari hiyo Juni 25, 2021 kufuatia tishio la kuibuka kwa wimbi la tatu la maambukizi ya ugonjwa wa Corona katika mataifa mbalimbali duniani na kueleza kuwa kutokana na muingiliano ya watu ni vyema tahadhari zilizochukuliwa hapo awali zikazingatiwa tena katika kipindi hiki.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari zaidi hapa
No comments: