LIVE STREAM ADS

Header Ads

Polisi Mwanza wathibitisha kuwakamata Viongozi wa CHADEMA

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Kamanda wa Polisi Mkoa Mwanza, Ramadhan Ng’anzi amethibisha kukamatwa kwa viongozi na wafuasi Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa madai ya kuandaa kongamano la Katiba Mpya Julai 21, 2021 jijini Mwanza bila kuwa na kibali.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.