RC Mwanza akagua stendi ya Nyamhongolo, ataka kazi ifanyike usiku na mchana
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi Julai 06, 2021 amekagua ujenzi wa stendi ya mabasi na maegesho ya malori Nyamhongolo wilayani Ilemela na kuagiza kazi ifanyike usiku na mchana ili ikamilike ifikapo Septemba 2021 na kuanza kutoa huduma kwa wananchi.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Jengo la kulala abiria (hostel) katika stendi ya Nyamhongolo ambapo itakuwa na vyumba takribani 100.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel (katikati) akiwa na viongozi mbalimbali alipofanya ziara ya kukagua ujenzi wa stendi ya Nyamhongolo.
Mwonekano wa jengo la kitega uchumi katika stendi ya Nyamhongolo likiwa katika hatua za ukamilishaji.
Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel (katikati), Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela John Wanga (kulia) na Mhandisi Mshauri BICO, Slyvester Francis (kushoto) wakiwa kwenye ukaguzi wa stendi hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: