Mwanza wafunguka, kauli ya Rais Samia, machinga wapangwe
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Wafanyabiashara wadogo katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wamefunguka baada ya agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kwa Wakuu wa Mikoa akiwataka kuwapanga wafanyabiashara katika maeneo bora ya kufanyia biashara zao.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: