LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mizengo Pinda ataka jamii kuwasaidia watoto wenye usonji

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda ameiasa jamii kuwasaidia watoto wenye usonji huku akikemea tabia ya baadhi ya wazazi wa kiume kukimbia familia zao pindi mtoto mwenye usonji anapozaliwa.

Pinda aliyasema hayo Septemba 20, 2021 jijini Mwanza kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Safari ya Ushindi ya Mama na Mtoto mwenye Usonji ulioambatana na harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha kulelea watoto wenye usonji pamoja na mbio za hisani za kusaidia ujenzi huo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.