LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mwanza ahimiza mapambano dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Robert Gabriel amewataka wananchi kuwa na utamaduni wa kufanya mazoezi na kuzingatia ulaji sahihi ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo kisukari, presha na macho.

Eng. Gabriel ametoa rai hiyo Novemba 14, 2021 kwenye kilele cha wiki ya maadhimisho ya magonjwa yasiyoambukiza yaliyofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba na kuambatana na mazoezi ya kukimbia (jogging) pamoja na upimaji bure kwa wananchi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.