LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Samia anapenda mfanikiwe, tumieni fursa hii- Waziri Biteko

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amewahakikishia wachimbaji wa madini nchini kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anapenda kuona wakifanikiwa kupitia shughuli zao hivyo watumie vyema nafasi hiyo kwa kuhakikisha wanazingatia sheria ikiwemo kulipa kodi. 

Dkt. Biteko ameyasema hayo Novemba 27, 2021 wakati akifungua mafunzo kwa wachimbaji wadogo wa madini mkoani Mwanza yanayoendeshwa na Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST).
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.