LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kampeni ya Siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia yazinduliwa mkoani Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Shirika la KIVULINI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Serikali limezindua kampeni ya Siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia yenye lengo la kutoa elimu kwa jamii kupinga aina zote za ukatili wa kijinsia. 

Uzinduzi huo umefanyika katika Wilaya Magu mkoani Mwanza ambapo kampeni hiyo kuadhimishwa kuanzia Novemba 25 hadi Disemba 10 kila mwaka.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.