LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Biteko akagua Soko la Madini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ametembelea soko jipya la kimataifa la madini jijini Mwanza ikiwa ni mwezi mmoja baada ya kuwataka wafanyabiashara wa madini kuhamia kwenye soko hilo. 
Dkt. Biteko amekutana na changamoto kadhaa katika Soko hilo lililopo Sabasaba katika eneo la kiwanda cha kusafisha dhahabu na kuzitolea maamuzi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.