LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ajali ilivyokatisha uhai wa watu 15 wakiwemo wanahabari watano

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Watanzania waligubikwa na majonzi, simanzi na vilio baada ya kutokea ajali katika wilaya ya Busega kwa kuhusisha gari iliyokuwa imewabeba wanahabari wa Mkoa Mwanza waliokuwa wakielekea Ukerewe kikazi na gari la abiria aina ya Hiace. 

Ajali hiyo iliyotokea Januari 11, 2022 ilisababisha vifo vya watu 15 wakiwemo waandishi wa habari watano.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.