LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Mirerani mkoani Manyara

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
TAARIFA YA ZIARA
Leo Januari 26, 2022 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa atafanya ziara katika Mji Mdogo wa Mirerani uliopo katika Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara.

Katika ziara hiyo Waziri Mkuu Majaliwa atatembelea na kukagua masoko ya madini Mirerani.

Pia, atatembelea eneo la EPZ lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa maduka na viwanda vya kuongeza thamani Madini ya Tanzanite yanayochimbwa katika Mji huo

Taarifa rasmi itatolewa baada ya ziara hiyo.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliamo, Wizara ya Madini.

No comments:

Powered by Blogger.