LIVE STREAM ADS

Header Ads

Watanzania wamlaki Rais Samia nchini Ubelgiji

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.comya
Pichani kushoto ni Mwenyekiti wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry & Agriculture, Paul Koyi na mmoja wa viongozi wa Diaspora nchini Ubelgiji, Jamil Saleh wakifuatilia kwa karibu hotuba ya Mhe:Rais Samia Suluhu Hassan siku ya Ijumaa tarehe 18.02.2022 katika ukumbi wa La Hotel Plaza jijini Ubelgiji.
Mmoja wa watanzania aishie nchini Luxembourg, Nassir alipata nafasi kuuliza swali kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan siku ya ijumaa ya tarehe 18.02.2022 katika ukumbi wa LaHotel Plaza uliopo jijini Brussel nchini Ubelgiji.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe:Samia Suluhu Hassan akipata picha na Watanzania waishio Ughaibuni siku ya ijumaa ya tarehe 18.02.2022 katika ukumbu wa Plaza hotel jijini Brussel ambapo Mhe:Rais alikutana na watanzania katika chakula cha jioni,Mhe:Rais aliambana na viongozi mbalimbali wa Serikali katika ziara yake barani Ulaya.
Picha zote na maelezo kutoka Maganga One Blog

No comments:

Powered by Blogger.