Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mwanamke
mjasiriamali jijini Mwanza, Jesca Kikoito amefungua gereji ya kidijitali iitwayo
‘HOT Mobile Garage’ ambapo mteja ataweza kuhudumiwa popote atakapokuwa. Gereji
hiyo imezinduliwa rasmi Februari 19, 2022 na Mkuu wa Wilaya Nyamagana, Amina
Makilagi.
No comments: