LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Jafo ajiuzulu sakata la vifo vya samaki mto Mara- CHADEMA

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa ambaye pia ni mbunge mstaafu Jimbo la Tarime Vijijini, John Heche akizungumza na wanahabari Machi21, 2022 jijini Mwanza kuhusiana na sakata la uchafuzi wa mto Mara uliosababisha vifo vya viumbe hai ikiwemo samaki.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.