LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shuhuda za ajabu, wamepona kwa Sala na Maji ya mtoto mdogo Yunis

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mtoto Yunis Ogot (03) mkazi wa Kijiji cha Bukaba Wilaya ya Rorya mkoani Mara amezidi kuzua gumzo kote duniani kutokana na uwezo wake wa kutibu watu kwa sala na maji ikidaiwa kuwa ni uwezo alioupata baada ya kutokewa na Bikra Maria. 
Fuatilia BMG TV hapa chini shuhuda za wanaodai kuponywa na mtoto huyo.

No comments:

Powered by Blogger.