LIVE STREAM ADS

Header Ads

RC Mwanza akutana na wanahabari walionusurika ajali, nilichanganyikiwa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel (katikati) amekutana na wanahabari wawili ambao ni Tunu Herman (kushoto) na Vanny Charles (kulia) waliokuwa majeruhi kufuatia ajali iliyotokea Januari 11, 2022 wakiwa njiani kuelekea wilayani Ukerewe kwenye ziara yake.

RC Gabriel ameeleza furaha yake baada ya wanahabari hao kupona ambapo alitumia fursa hiyo kuwakabidhi kiasi cha fedha kwa ajili ya kuwasaidia kununua vitendea kazi vilivyoharibika kwenye ajali hiyo iliyosababisha vifo vya watu 15 wakiwemo wanahabari watano baada ya gali lao kugongana na gari dogo la abiria/ Hiace wilayani Busega.
Tunu Herman (kushoto) na Vanny Charles (kulia).
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel (kulia) akimkabidhi Vanny Charles (kushoto) kiasi cha fedha kwa ajili ya kununua vitendea kazi.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel (kulia) akimkabidhi Tunu Herman (kushoto) kiasi cha fedha kwa ajili ya kununua vitendea kazi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.