LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanahabari walionusurika ajali Mwanza watoa ya moyoni

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Wanahabari wawili mkoani Mwanza walionusurika kwenye ajali ya gari wakati wakielekea wilayani Ukerewe kikazi wamezungumza kwa mara ya kwanza baada ya kupata ahueni ikiwa ni miezi mitatu imepita tangu ajali hiyo itokee Januari 11, 2022.

Itakumbukwa ajali hiyo ilitokea Januari 11, 2022 wilayani Busega ikihusisha gari aina ya Toyota Land Cruiser lililokuwa limewabeba wanahabari iligongana uso kwa uso na gari dogo la abiria Toyota Hiace na kusababisha vifo vya watu 15 wakiwemo wanahabari watano na madereva wa magari yote.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.