LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mashujaa wa Habari Mwanza walivyoagwa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Miili ya waandishi wa habari watano wa mkoani Mwanza waliofariki Januari 11, 2022 kwenye ajali ya gari wilani Busegwa wakielekea wilayani Ukerewe kupitia Bunda imeagwa Januari 12, 2022 katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.