LIVE STREAM ADS

Header Ads

Abiria wavutana na makondakta kisa nauli kupanda kimya kimya

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Baadhi ya abiria wa daladala jijini Mwanza wamejikuta kwenye sintofahamu baada ya kutokea mabadiliko ya nauli kuanza kutumia Mei 06, 2022 badala ya Mei 14, 2022 kama ilivyotangazwa hapo awali na LATRA. Sababu ya mabadiliko hayo imetajwa kuwa gharama ya mafuta kupanda maradufu.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.