LIVE STREAM ADS

Header Ads

Zitto Kabwe aunguruma Mwanza, achefukwa na bei ya mafuta

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Viongozi na wanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Mei 05, 2022 kimeadhimisha miaka minane tangu kuasisiwa kwake kwa kushiriki shughuli mbalimbali ikiwemo kuzindua matawi ya chama, kuchangia damu, kupanda miti, kufanya usafi.

Kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe akiwa jijini Mwanza amesema lengo la chama hicho ni kutoa majawabu ya changamoto mbalimbali na si kulalamika kama vyama vingine akitaja masuala kadhaa kama mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali ikiwemo mafuta.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.