LIVE STREAM ADS

Header Ads

Maajabu! Mapya yaibuka Kisiwa kinachosafiri Ziwa Victoria

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Kipande cha ardhi chenye majani na miti kikiwa na ukubwa wa Hekari 12 ambacho wenyeji wanaita kisiwa ambacho kinachoelea katika maeneo mbalimbali ya Ziwa Victoria kimeibua hisia kali baada ya kuonekana katika eneo la Kahunda Halmashauri ya Buchosa, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.