LIVE STREAM ADS

Header Ads

CHADEMA waibukia Mwanza, waliamsha tena kuhusu Katiba mpya

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Magu mkoani Mwanza kimeendesha kongamano la Katiba na kuishinikiza Serikali kufufua mchakato wa kupata Katiba mpya kabla ya mwaka 2024.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.