LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shuhudia Fainali ya CRDB Bank Taifa Cup

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
 Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa (katikati) akirusha mpira juu kuashiria kuanza kwa mchezo wa fainali kati ya Dar es salaam na Unguja (Wanawake) katika mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Bandari Jijini Tanga. Watatu Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa  (mwenye fulana yenye bedera ya taifa) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mkoa wa Tanga, Viongozi wa Benki ya CRDB pamoja na viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu nchini wakati wa fainali ya mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Bandari Jijini Tanga.
Ukaguzi wa timu.Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakati alipowasili kwenye viwanja vya Bandari Jijini Tanga kulikofanyika fainali ya mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yaliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa akizungumza wakati akifunga mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, kwenye viwanja vya Bandari Jijini Tanga.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza wakati wa fainali ya mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yaliyofanyika mwishoni mwa wiki, kwenye viwanja vya Bandari Jijini Tanga.

No comments:

Powered by Blogger.