LIVE STREAM ADS

Header Ads

Uzinduzi wa Goroto kwao Yunis wakwama, baba achefukwa #03

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Familia ya mtoto Yunis Ogot mkazi wa Kijiji cha Bukama wilayani Rorya imeeleza kusikitishwa baada ya uzinduzi wa Groto/ nyumba ya sala ya Bikra Maria iliyojengwa na mtoto huyo nyumbani kutozinduliwa kama ilivyokuwa imetarajiwa kwa kilichoelezwa kwamba kanisa linafanya utafiti kuhusu maono yake. 

Masikitiko hayo yamejiri baada ya Groto iliyojengwa katika Parokia ya Bukama kuzinduliwa ikizingatiwa nayo ujenzi ulianza baada ya mtoto huyo kusema Bikra Maria amemtokea na kumwagiza awaambie wamjengee nyumba hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.