LIVE STREAM ADS

Header Ads

Uzinduzi wa Goroto iliyojengwa na Yunis, Parokia ya Bukama #02

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mtoto mdogo Yunis Ogot mkazi wa Kijiji cha Bukama wilayani Rorya inaelezwa alitokewa na Bikra Maria na kumtaka awaambie waamini wa Parokia ya Bukama wamjengee nyumba ya sala/ Groto. Ujenzi ulianza na hatimaye kukamilika na huu ulikuwa uzinduzi wa nyumba hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.