LIVE STREAM ADS

Header Ads

Takwimu za ukaili, ulawiti zashtua. Waziri Gwajima atoa maelekezo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Takwimu za vitendo vya ukatili zilizotolewa kwenye kikao kazi cha Maafisa Maendeleo ya Jamii jijini Dodoma zimewashtua wadau na kutaka uwepo mkakati madhubuti wa kupambana na vitendo hivyo hususani ulawiti.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.