LIVE STREAM ADS

Header Ads

Makondakta wa daladala wafanya usafi mitaa ya Jiji la Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Wanachama wa Umoja wa Makondakta wa Daladala jijini Mwanza wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Mrimi Juma wakufanya Usafi katika Mitaa mbalimbali kufuatia mvua iliyonyesha asubuhi Disemba 09, 2022 na kusababisha adha ya uchafu kwa watumiaji wa barabara. 

Mwenyekiti wa Umoja huo, Mrimi Juma amesema hatua hiyo pia ni kuunga mkono uzalendo wa waasisi wa Tanzania akiwemo Mwl. Julius Nyerere aliyesaidia Tanganyika kupata Uhuru Disemba 09, 1961.
Mwenyekiti wa Umoja wa Makondakta jijini Mwanza, Mrimi Juma.
Makondakta jijini Mwanza wakufanya Usafi katika barabara na Mitaa mbalimbali.
Usafi ukiendelea
Mwonekano barabarani baada ya mvua.

No comments:

Powered by Blogger.