LIVE STREAM ADS

Header Ads

LIVE: Uzinduzi wa Taasisi ya Wanahabari Mtandaoni (TOMA)

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Karibu kufuatilia Mubashara uzinduzi wa Taasisi ya Waandishi wa Habari Mtandaoni (Tanzania Online Media Alliance- TOMA) unaofanyika jijini Dodoma. Mgeni rasmi ni Waziri wa Habari, Nape Nnauye aliyewakilishwa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa.
Tazama BMG TV Live hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.