LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA: Mazishi ya Mwandishi wa Habari aliyefariki ajalini Geita

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mazishi ya Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Richard Makore aliyekuwa Mhariri wa gazeti la Nipashe Kanda ya Ziwa yamefanyika nyumbani kwake Kijiji cha Remong'orori Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Ijumaa Machi 10, 2023.

Makore aliyezaliwa mwaka 1978 alifariki Jumanne Machi 07, 2023 katika ajali ya basi la Sheraton iliyotokea katika eneo la Kasamwa mkoani Geita likitokea jijini Mwanza na kusababisha jumla ya vifo 10 na majeruhi kadhaa. 

Mauti yalimkutano Makore akiwa safarini akielekea kwenye majukumu ya kikazi mkoani Geita.
Na George Binagi- GB Pazzo, BMG

No comments:

Powered by Blogger.