LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mbunge Kirumba akabidhi Printer, Computer Old Shinyanga Sekondari

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba amekabidhi Kompyuta tano na Printer 1 katika Shule ya Sekondari Old Shinyanga ili kuongeza ufanisi katika ufundishaji wa masomo ya TEHAMA.



No comments:

Powered by Blogger.