LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkutano wa LVRLAC Tanzania kufanyika Rock City Mall Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mkutano wa 27 wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa (LVRLAC) Kanda ya Tanzania kufanyika Machi 31, 2023 katika ukumbi wa Rock City Mall Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza. Mkutano huo utatatunguliwa na shughuli ya kusafa usafi na kupanda miti Machi 29, 2023 na Mkutano wa Wadau Machi 30, 2023.

Benki ya NMB ni miongoni mwa wadau waliowezesha kufanikisha mkutano huo.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mwenyekiti wa LVRLAC Kanda ya Tanzania ambaye pia ni Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Musoma, William Gumbo akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mkutano wa 27 wa jumuiya hiyo.
Mwenyekiti wa LVRLAC Kanda ya Tanzania, William Gumbo (kulia) akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kutoka kwa Meneja wa Kanda Benki ya NMB Kanda ya Ziwa, Ladislaus Baraka (kushoto) kwa ajili ya kufanikisha mkutano wa 27 wa LVRLAC.
Mwenyekiti wa LVRLAC Kanda ya Tanzania, William Gumbo (wa pili kulia) akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kutoka kwa Meneja wa Kanda Benki ya NMB Kanda ya Ziwa, Ladislaus Baraka (wa pili kushoto) kwa ajili ya kufanikisha mkutano wa 27 wa LVRLAC. Kulia ni Katibu Mkuu LVRLAC Tanzania, Billy Brown na kushoto ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemela, Renatus Mulunga.
Mwenyekiti wa LVRLAC Kanda ya Tanzania, William Gumbo (kulia) akipokea fulana kutoka kwa Meneja wa Kanda Benki ya NMB Kanda ya Ziwa, Ladislaus Baraka (kushoto) kwa ajili ya kufanikisha mkutano wa 27 wa LVRLAC.
Mwenyekiti wa LVRLAC Kanda ya Tanzania, William Gumbo (wa pili kulia) akipokea fulana kutoka kwa Meneja wa Kanda Benki ya NMB Kanda ya Ziwa, Ladislaus Baraka (wa pili kushoto) kwa ajili ya kufanikisha mkutano wa 27 wa LVRLAC. Kulia ni Katibu Mkuu LVRLAC Tanzania, Billy Brown na kushoto ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemela, Renatus Mulunga.
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya mkutano wa 27 wa LVRLAC Kanda ya Tanzania.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.