LIVE STREAM ADS

Header Ads

Meya Mwanza ashtukia upigaji fedha za umma

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mstahiki wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Sima Constantine ameagiza hatua za kinidhamu kuchukuliwa kwa Mkuu wa shule ya Msingi Nyangulugu kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za ujenzi wa vyumba vya madarasa.

Sima ametoa maagizo hayo Aprili 05, 2023 akiwa kwenye ziara ya kukagua miradi ya elimu katika Kata ya Mahima.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.