LIVE STREAM ADS

Header Ads

HECHE atamba kutomkimbia WAITARA jimbo la Tarime Vijijini

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Aliyekuwa mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche (CHADEMA) amesema hana mpango wa kukimbia jimbo hilo kwa kumhofia mbunge aliyepo sasa, Mwita Waitara baada ya kuibuka tetesi kwamba Heche ana mpango wa kuhamia jimbo la Nyamagana.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.