Simulizi za mtoto Yunis Ogot anayetenda miujiza huko Rorya mkoani Mara
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Tazama video mbalimbali kupitia BMG TV kutokea Kijiji cha Bukama Wilaya ya Rorya mkoani Mara kwao na mtoto mdogo mwenye miaka minne aitwae Yunis Ogot anaedaiwa kutokewa na Bikra Maria na kumpa uwezo wa kuombea maji yanayotenda miujiza ikiwemo uponyaji.
PIA SOMA>>> Habari zaidi kuhusu mtoto Yunis Ogot
No comments: