LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mamia ya wagonjwa wakutwa kwenye maombi yenye utata Mwanza #01

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mamia ya wagonjwa kutoka maeneo mbalimbali nchini wamekatisha matibabu yao hospitalini na kuhamia katika huduma ya maombi iitwayo “tiba ya maombi gulumbu” katika Kijiji cha Nyamayinza Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza.

Inaelezwa wagonjwa wanaoenda katika huduma hiyo wamezuiliwa kwenda hospitalini bali wanapaswa kuamini kwamba watapona maradhi mbalimbali yanayowasibu kwa njia ya maombi hatua ambao imewatatiza baadhi yao kiafya.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.