Cheki stendi mpya ya mabasi Nyegezi Mwanza majira ya asubuhi
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
BMG Online TV Tunaendelea kukuletea updates kutoka stendi mpya ya Nyegezi jijini Mwanza ikiwa ni siku chache baada ya kuanza kutumika wakati uzinduzi rasmi ukingojewa kwa hamu na gamu.
TAZAMA>>> Habari zaidi hapa
No comments: