LIVE STREAM ADS

Header Ads

Watu saba wanaswa Mwanza kwa wizi wa Transfoma sita za TANESCO

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na maafisa wa shirika la umeme TANESCO limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa saba kwa tuhuma za kuhusika na uharibifu wa miundombinu ya umeme ikiwemo transfoma sita hatua iliyolisababishia shirika hilo hasara ya zaidi ya shilingi milioni 60.
Tazama BMG TV hapa chini
TAZAMA PIA>>> Habari zaidi hapa

No comments:

Powered by Blogger.