LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shuhudia Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Fuatilia Mubashara Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza unaofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba Julai 18, 2023 mgeni rasmi akiwa ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Daniel Chongolo aliyewakilishwa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Dkt. Sophia Mjema.
Katika mkutano huo, Mbunge wa Jimbo la Ilemela ambaye pia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Dkt. Angeline Mabula aliwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi wa CCM kwa mwaka 2022/23.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.