LIVE STREAM ADS

Header Ads

Huduma ya mtoto Yunis yasitishwa #03

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Baba Yunis amesitisha huduma ya mtoto Yunis aliyokuwa akiitoa ya kuombea watu kwa maji ya baraka baada ya mama Yunis kuondoka na mtoto huyo nyumbani kutokana na kutokea sontofahamu baina ya wanandoa hao.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.