LIVE STREAM ADS

Header Ads

Karibu Scott Garden Mwanza, kiota cha burudani na misosi mitamu

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Scott Garden Mwanza ni enezo zuri na tulivu kwa wapenzi wa burudani pamoja na vyakula vya aina mbalimbali ikiwemo samaki watamu wa Ziwa Victoria, kuku, mbuzi na ng'ombe choma laini kabisa huku ukipata vinywaji mbalimbali. 

Kwa siku za wikendi, ukiwa Scott Garden utapata huduma ya supu bure kabisa huku ukifurahia kilaji kutoka kampuni ya TBL. Kubwa zaidi unaweza kuweka oda ya PLANTA kwa bei nafuu kuanzia elfu 60.

Pia kuna eneo zuri kwa ajili ya dhifa na vikao mbalimbali. Wasiliana na uongozi wa Scott Garden kupitia 0713 32 03 63. Kumbuka Kiota hiki cha burudani kinapatikana Buswelu Centre (Bogamboga) Ilemela jijini Mwanza Mwanza.
Tazama picha mbalimbali kutoka Scott Garden Hotel Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini
TAZAMA PIA HABARI ZAIDI HAPA

No comments:

Powered by Blogger.