LIVE STREAM ADS

Header Ads

Baba Yunis akiri kuoa mke wa pili

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Baba Yunis amekiri kuoa mke wa pili baada ya kutokea sintofahamu baina yake na mkewe wa ndoa, Agnes hatua iliyosababisha aondoke nyumbani na mtoto Yunis aliyekuwa akiombea watu kwa maji na sala huko Bukama wilayani Rorya.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.