Heri ya siku ya kuzaliwa, Subila mwalukasa
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com

Wakati leo Agosti 01, 2023 unasherehekea siku ya kuzaliwa pamoja na mama yako mzazi, tunaungana pamoja kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ili apumzike kwa amani. Kumbuka Tunakupenda. #VestaMatunda
BMG Media tunaungana na wadau wote kukutakia maisha mema, Subila Mwalukasa. Salamu na zawadi zinafuata hapo hapo Uyole mkoani Mbeya🎂🍾
No comments: