Uzazi wa mpango, mwanaume afunga kizazi mkoani Simiyu
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Elimu ya umuhimu wa huduma za uzazi wa mpango imeendelea kupokelewa vyema katika jamii baada ya Serikali kwa kushirikiana na wadau wa afya ikiwemo mradi wa USAID Afya Yangu- RMNCAH kufikisha elimu hiyo hadi ngazi ya jamii pamoja na kuwajengea uwezo watumishi wa afya ili kutoa huduma bora.
Katika kudhihirisha hayo, mzee mmoja katika Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu ameridhia kwa hiari kutumia njia ya uzazi wa mpango ya muda mrefu ambayo ni kufunga mirija ya uzazi baada ya kupata watoto anaomudu kuwahudumia.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA SOMA>>> Mwanaume afunga uzazi Simiyu
No comments: