LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA: Usiku wa Wanahabari na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa 2023

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Katibu Tawala Wilaya ya Ilemela, Mariam Msengi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makala wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.
****

Wadau na waandishi wa habari wamejumuika pamoja katika hafla ya Usiku wa Marafiki na Wadau wa vyombo vya habari Kanda ya Ziwa (Lake Zone Media Stakeholders Night Gala 2023) Mkoani Mwanza.

Hafla hiyo ikiongozwa na kauli mbiu ya ‘vyombo vya habari imara ni chachu ya maendeleo ya nchi’ iliyoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza imefanyika usiku Ijumaa Oktoba 20, 2023 katika Ukumbi wa Mwanza Hotel Jijini Mwanza ambapo mgeni rasmi alikuwa Katibu Tawala Wilaya ya Ilemela, Mariam Msengi akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Ilemela kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makala.
Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Katibu Tawala Wilaya ya Ilemela, Mariam Msengi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makala wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.
Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Katibu Tawala Wilaya ya Ilemela, Mariam Msengi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makala wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.
Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Katibu Tawala Wilaya ya Ilemela, Mariam Msengi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Amos Makala wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza, Edwin Soko akizungumza wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.

Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo akizungumza wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa katika ukumbi wa Mwanza Hotel Jijini Mwanza Oktoba 20, 2023.
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo akizungumza wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa katika ukumbi wa Mwanza Hotel Jijini Mwanza Oktoba 20, 2023.
MC Benard James akizungumza wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa katika ukumbi wa Mwanza Hotel Jijini Mwanza Oktoba 20, 2023.
MC G Sengo akizungumza wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa katika ukumbi wa Mwanza Hotel Jijini Mwanza Oktoba 20,2023.
Burudani kutoka kwa Mwanamuziki Mwinjuma Muumini ikiendelea wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.

Wadau wakifuatilia matukio wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.
Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) George Mhina akizungumza wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.
Mwakilishi kutoka TRA Mkoa wa Mwanza akizungumza wakati wa Usiku wa Wadau wa Habari na Vyombo vya Habari Kanda ya Ziwa.

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza, Edwin Soko (kushoto) akimkabidhi Meneja wa TCRA Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo cheti cha shukrani ya kuwa mdau mkubwa wa Klabu hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.